Monday

eid fitriyi 2009

muu,caido na mtoto wake.bella ,mke wa caido,na ummi na wadhha


harbab alikuwepo coventry akila sambuza


wahida na wadhha wakila pozi za skukuu



wadhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa



wahidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa




Saturday

Eid mubarak

Eid mubarak .Uwogozi wa kazuba unatoa mkono wa eid kwa wana blog ya kazuba .

happy barthday wadhha

wadhha na wahida


wadhha

wadhha akisherehekea miaka 2 ya kuzaliwa kwake


Tuesday

miaka ya 1996

hahahah nilipokuwa kuwait miaka ya 96

Friday

ramadhani karim

tunakupeni mkono wa ramadhani karim ,kesho inshallah tutaanza kufunga mfungo wa ramadhani. na tumefungua blog mpya .babawawa2.blogspot.com

Wednesday

happy birthday wahida 5/7/2009

wadhha akiwa kwenye birthday ya wahida


wahida na wadhha wakiwa kwenye birthday


kutimiza miaka 4 ya kuzaliwa wahida abeid 5/7/2009


wahida akiwa amekula pozi za kihindi




Sunday

happy birthday

leo ni siku ya happy birthday ya abeid kutimiza miaka 32

Friday

breking nyuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

hatimae king wa pop afariki leo huko marekani

Monday

tunamchukuwa biharusi

mambo ya harbabbbbbbbbbbbbb mabo ya harusi


tunaingia wacheni mlango uwazi hukoooooooo


tujeeeeeeee au babo



familia ya bwana harusi




hongereni

zuwena na mjomba hafidh

wawa family




hahaha mambo ya mzee hamisi

tushamaliza kufunga akdi tunasubiri biriani


nilikuwa nampigia mzee khamis kama biriani babu kubwaaaaaaaa


Saturday

meli ilozama bandarini znz

meli ilozama znz imeanzwa kugeuzwa


ndio hivyo tena lakini sijui vipi maiti zipo au


mungu wajaalie maiti waonekane



rahim na wahida ndani ya newcastel


fahmi na wahida ndani ya newcastel


mambo ya wadhha





newcastel

bana harusi & bi harusi


mimi na mama watoto


tupo harusini newcastel




wahida mambo ya newcastel




wadhha mambo ya newcastel (wawa)



tunaelekea kwenye akdi london

mambo ya koti kubwa


mimi na mama watoto


watoto wangu wahida & wadhha



Monday

habari ilotokea newcastle

hahahhahahah habari za uhakika ilotufikia kutoka mafichoni kuwa jamaa mmoja alokuwa akiaminiwa kwa kila kitu na watu juzi alivunja uaminifu wake baada ya kumvunjia heshima mke wa rafiki yake alokuwa akimuamini kwa kila kitu jee huu ni ubinaadamu

Saturday

harusi ya kassim znz

bi wahida akimpaka mwanawe kassim hinna



mzee amaren akiwa na kasiim siku ya chakula cha mchana


baada ya kufunga ndoa msikiti mabati


bi wahida akiwa na watoto wake dulla na kassim


wanampaka hinna jamaa

Tuesday

mambo ya kisiwani changuu

mambo ya kisiwani
abeid ,tuma,salah, wahida tuma salah, na mirvat

Wednesday

tulipokuwa kwa hajji mansur bububu

familia ya wahida abeid na wajukuu zake tulipomtembelea bububu

na hapo pia bububu

harusi ya dulla 19/3/08

baada ya kufunga ndoa alikaa na familia yake


hapa tupo kujitaarisha kwenda kumchukua biarusi

Monday

nilikuwepo

nilikuwepo kwenye kisomo cha mtoto wa boss wa kazuba .

happy new year



Sunday

mwaka mpya 2008

Abeid na blog hii wanakupeni mkono wa mwaka mpya wa 2008 uwe wenye kheri .


Familia ya Abeid inakupeni mkono wa mwaka mpya

Monday

christmas

tunakupeni mkono wa christmas

Wednesday

blogspot ya kazuba inatoa mkono wa eid

familia ya abeid inatoa mkono wa eid mubarak kwa wadau wote .

nilikuwa naitwa abeid sasa naitwa baba wawa hahahahahha

Tuesday

Tunatoa mkono wa eid



Abeid omar na famili yake inatoa mkono wa eid kwa waisilamu wote.

Sunday

baada ya kuzikwa.


baada na kuzika baba yake marehemu mzee said salim bakhresa akuondoka makaburini.

mtoto wa bakhresa apata ajani na kufariki

Huyu ndio khalid bakhresa aliyepata ajali leo huko znz kwenye mashindano ya magari.






wakati wa kuanza kwa mashindano


gari lake alilopata ajali nalo


hapa kwa mbele ilikuwa kituo cha polisi



kazikwa leo khalid bakhresa mungu ailaze roho ya marehenu mahali pema peponi amin.

wageni

Nilipoalikwa na rafiki yangu samsoin hahahhahhha

Wednesday

eba jamani

hahahha mambo ya kupaa hahaha

Sunday

bata avaa pempas

kaonekana anaumwa na tumbo hahahhahah

Thursday

hahahah kipanya awa mganga


jamani mambo yanaanza haahahah

dunia duwara

jamani hawa wazungu wanalana tizameni .

Wednesday

sio lazima tuende kwa kinyozi

usiwe na wasi wasi

Monday

nishachoka kuulizwa


mjomba kishachoka kuulizwa ndio mana akaamua kuweka bangu la biashara

Thursday

kuna swali limeulizwa

hili swali linaulizwa kama yupo anolijua anijibu hahahahahha



hahahahhahahhmambo ya katuni

Wednesday

mambo ya dunia

mambo ya kazi hayoooooooooo mara lete buku hahahahhaha

mambo ya katuni


hahahha jamani wapo watu kama hawa ?

Saturday

man u v/s arsenal zatoka sare 2.- 2




arsenal yatoka sare na man u kwa kufungana mabao 2-2

Friday

mambaaa

usimtukane mamba kabla ujavuka mto

YANAYO TUFANYA TUWE WASWAHILI

(1) unamwita mtu usiyemjua aunt au anco

(2) Asilimia 90 ya cd pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki sio original

(3) Stoo yako imejaa vitu (makorokoro)kwa kuwa hutupikwa kuamini kuwa ipo siku utayahitaji
kwa mfano carpet ukilitoa hulitupi n.k

(4) Una machupa ya maji matupu ya shampoo ,perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka
tuu wala hunashughuli navyo.

(5) watoto wako wote wana majina ya utani mfano babu ali ,chidi melodi , dida ,mamu n.k

(6) hakuna mtu katika familia yako anaetoa taarifa kwako anapo kuja kukutembelea kwa
mfano kaka ,shangazi n.k

(7) mifuko yako imejaa vitu kama vile vijiti vya kusafishia meno ,tissue n.k ulivyochukua sehemu kama vile mgahawani.

(8) mama yako anamigogorona ndugu na hawazungumzi kwa muda wa siku 10 au zaidi.

(9) hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu (mfano usiku sana)
na mara nyingi huwa una beep tu.

(10) ulipokuwa mdogo nguo unazonunuliwa pamoja na viatu ni vikubwa mara mbili ili kuvivaa muda mrefu zaidi.

(11)wakati ukisafiri na ndege unabeba mzigo wa uzito mkubwa kuliko inavyoruhusiwa.

(12) unampomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule.

Monday

hahahhahahha

Anashangaa kuona wenzake magagu hahahhahah.

Thursday

marehemu salome

Marehemu salume aliopata ajali jana .

Ajali ya salome mbatia

ajali mbaya

Wasamaria wema wakiokoa kwenye ajali .




Msamaria mwena akimtoa dereva wa gari wa naibu waziri





picha ikionesha gari aina ya nissani ilivyoharibika

mtibwa sugar

Hata tz siku hizi mambo poa ni timu ya mtibwa sugar ya morogoro ikiwa kwenye picha ya pamoja .

Wednesday

mambo ya holand

kuna mdau 1 kutoka udachini kanitumia hii picha kama bado wanamkumbuka kocha chura.



kijana china , na chidi wa melodi wamemkimbia badi na chura .

Monday

swali

Unaweza ukanambia hii gari ya mwaka gani?

Sunday

tangazo la msiba

Bibi munira hassan wa dubai na ndugu zake wa tz wanatangaza kifo cha mama yao mzazi bi nuru almaaruf (gosheiye )kilichetokea znz leo asubuhi salamu ziwafikie jamaa wote na marafiki wanaousika na msiba huu maziko yatafanyika leo znz baada ya sala ya laasiri mungu ailaze roho ya marehemu maali pema peponi (amin)

Saturday

maalim seif sharif hamad

maalim akiveshwa shada la maua na watoto wakati wa mkutano huko znz

Friday

lucky dube apigwa risasi

mzee wa reggae wa africa ya kusini kapigwa risasi na majambazi na kuuwawa.

Thursday

ushawahi kuona huu

Mambo ya mnazi mviringo sasa vipi uataukwea. jibu hahhhahahahha

Wednesday

mambo ya mwambaaaa

mwamba akiwa na jamaa zake walipotembelea uwanja wa manchester


harbabu anaona kachoka sana hapo kaona akakae kwenye kiti hahahahhahahahha. kocha mtarajiwa wa man

Saturday

eid mubarak

Abeid na mwanawe waheeda walipokwenda metro




ummi ,zuwena,faa,dulla na waheeda
kisuzuki akiwa angani yeye na pailot waheeda



namkumbuka jamaa 1 anapenda sana mambo haya hahahhahahahhahahhahahahha

Friday

eid mubarak



Familia ya Abeid wanatoa mkono wa edi na wanakutakieni kila la kheri.

Tuesday

idi mubarak

Uwongozi wa kazuba na natalies studio wanakupeni mkono wa idi.

mambo ya iddi alfitri

mambo ya wanja na tunakupeni mkono wa iddi al ftri

Sunday

hamilton out

hamilton kabla ajatoka na kukosa ubingwa


hamilto alipopata ajali na kutoka kwenye mashindano yaliofanyika alfajiri ya leo .

Thursday

mzee amaren upoooooooooooo

Mzee amaren upo naona majumba yanakua marefu lako vipi .

Tuesday

twiga mnyonge arejea tena

Air tanzania yarudi tena baada ya kuwa kwenye mikono ya afrika ya kusini

Sunday

ujerumani bingwa


ujerumani imechukuwa kombe la dunia kwa wanawake baada ya kumfunga brazil 2:0

hamilton kashinda tena

hamilton akiinua kombe lake la ushindi wa mashindano ya magari huko japani.


Kebendera kimeinuliwa kwa ishara ya mshindi hamilton leo alfajiri huko japani




Friday

Fainali ya kombe la dunia wanawake

Brazili itaifunga ujerumani kesho kutwa huko china?


wachezaji wa ujerumani wakishangilia kucheza fainali na brazili jumapili.

brazil wakishangilia kuingia fainali


Timu ya brazili wakishangilia kuingia fainali ya kombe la dunia la wanawake huko china

Thursday

usafiri honda

Mzee anakimbilia mambo ya ftari .na kuna honda zimetoka zinapakia watu 7 amini usiamini.

Wednesday

hongera boss


Hongera sana boss abeid kwa kupata mtoto wa pili mungu awakuze (amin)

Tuesday

kapuya apata ajali


Waziri wa ulinzi profesa kapuya kapata ajali uko tabora.

Monday

mambo ya moto ndani ya jiji la bongo


moto uliozuka katika hotel ya sea cliff jana mitaa ya msasani.

mambo ya vikatuni kuhusu ufisadi

mambo ya vikatuni

Sunday

Man utd v/s chelsea


leo chelsea inamkumbuka mourinho baada kufungwa bao 2-o na manchester united

arsenal v/s derby


Arsenal imemfunga Derby bao 5-0

Friday

wapo kama hawa?

Hahahahahhahahhahahahahha mambo ya madenge

Thursday

mourinho kaiwacha stamford brige


Mourimho kaachia ngazi chelsea kama kocha wa timu hiyo jee atakwenda wapi.

Tuesday

Hata ngamia wanapaki.

Ngamia akiwa kwenye paki ya magani na yeye pia lazima awe na paki.

Monday

wewe ni mpenzi wa liverpool


kuna mdau kanitumia picha hii

Sunday

Tusomeni qurani

Tusomeni qurani mwezi mtukufu wa ramadhani tuzidisshe ibada.

Tottenham v/s arsenal


Tottenham yapigwa bao 3-1 kwao na wazee wa mizinga Arsenal .

Saturday

mudhihir mudhihiri apata ajali




Hapa yupo spitali ya muhimbili wodi ya mifupa (moi) baada ya kukatwa mkono wa kulia

Thursday

ramadhani




ramadhani karim

kampuni ya blog ya kazuba na natalies studio wanakupeni mkono wa ramadhani karim.

Wednesday

Ramadhani karim

waislamu kote duniani wanajitayarisha kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani hapo kesho inshalla Mungu tujaalie iwe saum makbul (amin)

Tuesday

Shenazi azikwa

Hatimaye mwili wa marehemu shenazi wazikwa

Monday

huyu ndio aliwaliza wabongo

Mshambuliaji wa msumbiji tico tico pichani ndie alowaliza watanzania

shenazi afariki




Shenazi afariki dunia kwenye ajali huko mbeya wakati akirudi kwake dar es salaam akitokea kwenye shuhuli zake za kimuziki.

Sunday

ramadhani karim


Nimetumwa na shabani anasema mpokeeni mgeni mtukufu wa ramadhani ,atakuja na watoto watatu ,rehma ,maghfira na toba jiandaeni kumpokea .

Saturday

kuna mdau kanitumia hii picha

K umbe bongo bado tupo nyuma tumetengenezewa uwanja mzuri lakini kuna watu wanauharibu wanangoa viti kisha watu wanapiga kelele mimi sijaona namba yangu ya kiti sasa unaionaje namba na umengoa.

mpira umekwisha

Jamani amini usiamini taifa stars

tumiumia mpira umemaliza

msumbiji 1 -0 kwa tanzania

Jamaniiiiiiii

senegali ishashinda 3-1

zidi ya burikina faso

Mnaweza kusikiliza

Mnaweza kusikiliza

http:/ /www.jamboradio.cjb.net /


mnakwenda jambo gold

limekataliwa

mungu ibariki tanzania

moja

tanzania ishafungwa moja

Friday

Kila la kheri taifa stars



kila la kheri taifa stars wataingia uwanjani kesho saa mbili usiku kwa saa za tanzania kupambana na msumbiji .

Thursday

Kwanini wanakubagua

Usijali ubaguzi wa tz sio ajabu washazoea kubaguana lakini naamini utafika mbali kwenye urembo wa dunia

Tuesday

anangoja pantoni

jamaa anangoja pantoni ili aaende zake kigamboni lakini saa zimekwisha angojee mpaka asubuhi

Monday

unalijua alkaba

Hili ndio alkaba linavukua

Miss Tanzania 2007


Miss tanzania 2007 akiwa ameketi na washindi wa 2 na 3 ilifanyika jumamosi

Sunday

wanja la taifa

wanja la taifa la tz likiwa nimependeza jana katika mechi ya kirafiki baina ya tz vs uganda

Saturday

umati uloingia uwanja wa taifa

umati katika uwanja wa taifa leo baina ya uganda vs tz kumbe wanajua kujipanga tv inafundisha



hatari kwenye lango la uganda

mjukuu wa amaren akiwa masomoni



Wahida abeid akiwa anasomea mambo ya kuendesha meli

Friday

canavaro wa tz

canavaro wa tz akiwa mazoezini alianza kucheza znz na sasa yupo yanga na kawa super star je atamkumbuka kocha wake hassan chura ?

Wednesday

Wanja la taifa kwa njee

Wanjajipya la taifa kwa njee

Tuesday

vikatuni


vikatuni vya leo

Monday

Sheikh Nurdin

Masheikh wakimsalia Sheikh nurudin kwanye msikiti wa shadhili hapo kariakoo na makamo wa rais ali mohamed shen

Sunday

jiji la bongo

Hili ni jiji la bongo la sasa

Saturday

boss wa natalies studio

Huyu ndio bosi wa natalies studio na www.kazuba.blogspot.com

inginia

Wadau wanasema kwanini daraja hili lisijengwe kuanzia bongo mpaka zanzibar?

Friday

pepeta



wacheza show wa twanga pepeta wakiwa jukwaani jana usiku kuamkia leo hapa london,na kwa niaba ya kampuni ya natalies studio utajaribu kuwaleta newcastle sasa wapenzi wa newcastle kaeni mkao wa kula

twanga na kupepeta

kiongozi wa twanga kupepeta wakiwa na viongozi wa hapa london

Thursday

mambo ya hama


mbunge wa chadema akiingia kwenye uwanja wa jangwani kuhutubia akiwa na gari la kifahari aina ya hama

Monday

kimbunga jamaica

kimbunga kikubwa chatokea jamaica

Sunday

siwezi kuacha kuimba/ bi kidude

miaka yangu siijui


bi kidube- siachi kuimba mpaka siku nitapokufa, na ninacho chuo changu mwenyewe cha kufundisha unyago na ninajivunia wanafunzi wangu wote niliowafundisha awajawai kupewa talaka mpaka leo na waume zao.

Saturday

kiatu kama gari na ngombe kama honda

wabongo lazima tuwe wabunifu ................................................................!
huyu sio ngombe bali ni honda hahahhahahahahahhah

Friday

mashabiki wa tz kumbe hata denmark

wazee wakiangalia mechi ilopochezwa juzi huko denmark jamaa anafurahiiiiiiiiiiii

taifa ya tz ndani ya denmark

timu ya taifa ya tz ndani ya denmark
wakishuka kwenye uwanja

seif akirejea ccm hakuna mtu atamfuata


kauli uliotolewa na lipumba

Wednesday

man utd v/s portsmouth


man utd v/s portsmouth zimetoka saze 1-1

Tuesday

maajabu

eti kaburi la mtu nyota 3 atazikwa hapo mambo ya tv.viti jamani hii ni ...........................

uwanja jipya la bongo

uwanja jipya la tz litachezwa mechi ya tz v/s msumbiji

Monday

ajali ilotokea mazizini na watu 3 walikufa



khalifa boy kanitumia hizi picha za ajali ilotokea mazizini na vijana 3 walikufa na 1 majerui

man v/s reading


matokeo ya mechi man 0-reading 0

Sunday

mwakanjuki

waziri mkuu wa tz akimpa pole waziri wa znz baada ya kupata ajali wiki iliopita

Saturday

leo vijana walikuwa park


farhat, fahad, dulla, fahmi na waheeda


na mimi pia nilikuwapo abeid


na pia hamida



zuwena pilo



ummi na mwanawepia walikuwepo

koffi ndani ya mwanza

koffi ndani ya mwanza


wachezaji wa wa koffi ndani ya mwanza

Friday

haya tena hayawi hayawi ndani ya uk

watoto wa asha baraka ndani ya jiji la london

Wednesday

mambo ya gati

mloondoka siku nyingi bongo msisahau kama zipo boti kwenda dar na znz mambo ya seabuss

yassin

yassini kanitumia hii siku ya harusi yake huko ufaransa huyu jamaa ni mkomoro



alipokuwa anatembelea sehemu za ufaransa

Tuesday

mazula

kama mshawahi kupanda pipa la air tanzania kwenda dubai au mascat sio geni kusikia jina la capten mazula kushoto mimi namkumbua nili[pokuwa safarini kwenda kuwait

Monday

kinoni

akila pozi kwenye makaazi yake
usizani koffi ni kijana wa congo didi kinoni yupo holand

Sunday

car

hamilton aliokuwa akimaliza roundi yake

hamilton

bingwa wa magari hamilton (formula1)

ma break dance

kuna mdau kanitumia hii akiwa na ma break dance ule mchezo wa kujipinda

Saturday

kikosi cha barcelona


kikosi cha timu ya barcelona ya ispainia

reading

timu ya reading

Friday

mfunze angali mdogo

Karibuni nyote

asalam alekum karibuni kwenye blog yangu mpya na nitajitahidi kukuarifuni kila niwezalo na lisilo sitokuleteeni na nitajitahidi kwa hali na mali pia bloghii haitakuwa ya matusi wale maneno yasikuwa ya maana.

Thursday

juventus\


mwaka 2010watakuwa kama hawa uwanja wa taifa
wachezaji wa baadae lakini .....................


kukatazwa kuvuta sigara itakuwaje



newcastle v/s juventus

kipa la juve akila zoezi
nilipokuwa uwanjani


juventus ikipasha viungo


mashabiki wa newcastle


wanja ilo la newcastle