Monday

ujumbe wa watu 7 tuliouzuria harusi ya dr


tayari kwa safari ya harusini



hamilton anaweka tomtom sawa ili itupe njia safi




tumechukua masaa 2 tu mpaka mitaa ya harusi hapo mzee wa kazi hamilton



 tukakutana na mjumbe mwengine sleyum






 hapa ni baada ya kidogo atakabiziwa majukumu







 khalifa akipiga picha ya kumbukumbu




picha ya bwana harusi



umekubali kumuoa .............................



utamu wa halua lazima ujue kukata




khalifa ,bwana harusi ,alawi ,ba omar  na sleyum




nikitoa mkono wa hongera kwa bwana harusi




wajumbe wa newcastle walowakilisha harusini

nimerudi mitamboni


nimerudi tena mitamboni

Saturday

 ndio kwanza siku 1 wafaa



 wafaa alipomaliza kukoga




wahida kampakata ndugu yake wafaa



wadhha kampakata ndugu yake wafaa

Sunday

EID AL HAJJI

    baba wawa ankupeni mkono wa eid


   wadhha na mzee mzima na wahida baada ya kula chai nzito


 wawas na baba yao


 wahida na mapozi ya skukuu


 wadhha nae ajawa nyuma


 wawas family


 wawa na mama wawa



Takbiratul Eid تكبيرات العيد - كاملة - جميلة جدا

Monday

happy birthday wadhha


wadhha akiwa kwenye matayarisho ya birthday



wadhha akiashiria kuwa ametimiza miaka 4

 
akipuliza mishumaa ya kuashiria katimia miaka 4



mama na mwana wapo pamoja kwenue kukata keki




wahida nae alikuwepo kumpa tafu wadhha kushereheka siku yake ya kuzaliwa


mama ummi akimlisha keki wadhha

babawawa pia hajakosa kumpa tafu binti yake


babawawa pamoja na pesa zake mungu amuekee itikia  ( amin)

matayarisho ya kuweka mishumaa jikoni


sahimu pia ajakosa kwenye sherehe


mamawawa kwenye mapozi


ummi na wahida ,sahim alopakatwa na wadhha



mzee mzima ndani yake nipo





watoto na ummi wakiwa na mabofu


hapa nilikuwa nakata ili nionje


happy birthday wadhha today 4

























Saturday

rais wa zanzibar dr sheni na makamo wake maalim seif uko nungwi

 dr sheni na seif sharif pia walikuwepo nungwi


hapa ni maisara watu wakisubiri kutambua maiti zao